NEWS & UPDATES
SISALANA TANZANIA COMPANY LIMITED IMESHIRIKI KATIKA UFUNGUZI WA JENGO LA KIBIASHARA LA EAST AFRICA COMMERCIAL & LOGISTIC CENTER LILILOPO WILAYA YA UBUNGO- DAR ES SALAAM, LIMEFUNGULIWA NA MH. DR. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, TAREHE 01.08.2025
![]() |
Mh. Dr Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ufunguzi wa Jengo la kibiashara la East Afica Commercial & Logistic Center akitembelea bidhaa za Mkonge zinazotengenezwa na Kampuni ya SISALANA TANZANIA COMPANY LIMITED, katika ufunguzi huo kampuni imewasilishwa na Meneja Uendeshaji Ndugu David Mziray |
![]() |
![]() |
MKUU WA MKOA WA TANGA ATEMBELEA VIWANDA VYA KUCHAKATA MKONGE VYA NSSF KUPITIA KAMPUNI YA SISALANA
WAFANYA KAZI ZAIDI YA1000 WANATEGEMEA KIWANDA CHA SISALANA /KANUNI ZA KILIMO BORA ZA ZAO LA MKONGE